05 November 2009

Pictures


Peer educators singing about malaria


Peer educators doing skits about malaria prevention



Kikwete, TZ's president, when he came through my village

Masasi District Health Volunteers, one year anniversary of being at site


Kittens!


Kitten!

Condom song

In my free time, I like to make up pedantic, slightly obscene songs in Kiswahili.

The Condom Song (To the tune of Rihanna's "Umbrella")

Verse 1:
Ukitaka kujua
Jinsia ya kutumia
Kondomu ya kiume
Basi sikiliza
Wimbo huu
Halafu utajua

Chorus:
Kwa nini tunapenda kutumia kondomu?
Kwa sababu nyingi sana.
Hatutaki kupata UKIMWI au magonjwa ya zinaa.
Hatutaki mimba pia, kwa hiyo tunatumia
Tunapenda kutumia kondomu
Tunapenda kutumia kondomu, kondomu, kondomu
Hey, Hey, Hey, kondomu, kondomu, kondomu,
Hey hey hey hey hey hey

Verse 2:
Hatua ya kwanza
Angalia paketi
Kama imepasuka
Usitumia
Halafu angalia
Tarehe ya kwisha
Kama imepita
Tumia nyingine
Fungua paketi
Kwa uangalifu
Usitumie
Meno au kisu

Chorus

Verse 3:
Ukishafungua
Valisha kondomu
Kwenye uume
Uliyosimama
Minya chuchu
Ya kondomu
Ili kuhakisha
Hamna hewa ndani
Endela kuminya
Wakati wa kukunjua
Ukishafanya ngono
Vua na tupa

Chorus

Verse 4
Watu wengi
Wanafikiri
Kwamba kondomu
Hazinogi
Lakini ni bora
Kutumia kondomu
Kuliko kupata magonjwa
Au VVU

Chorus